WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda akilakiwa na Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, kwenye Uwanja wa Ndege wa Zanzibar. Kushoto ni Naibu Waziri Kiongozi, Ali Juma Shamhuna.
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda akikagua kadi za wanachama wa chama cha ushirika wa kuweka na kukopa (SACCOS) ya Meli nne, Zanzibar, juzi. Kushoto ni Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha na kulia ni Mhazini wa ushirika huo, Shemsa Hilali.
MKE wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akikagua mpunga katika bonde la Cheju, mkoa wa Kusini Unguja.
Happy Girlfriend Day
-
Happy Girlfriend Day is a wonderful opportunity to celebrate the special
woman who brings love, happiness, and support into your life. Observed
every year ...
Pole, Polepole!
-
Kwa dhati kabisa, simuoni mgombea wa akina Polepole kuwa na uwezo wa
kukabili changamoto hizo. Ndio maana inabidi kurudi kwa Polepole kumuomba
awajibu Waza...
No comments:
Post a Comment